Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimkabidhi fedha tasilim za KitanzaniaMillioni Thalathini na Tano Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mlandege Nd.Ali Khatib Dai,ambapo Timu hiyo inatarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia .[Picha na Ikulu].02/12/2020.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia. .[Picha na Ikulu] 02/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na wafanyabiashara na Viongozi wa Timu ya Mpira ya Mlandege leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika hafla ya kukadidhiwa fedha Timu ya Mpira ya Mlandege inayotarajiwa kusafiri kwenda nchini Tunis,Tunisia katika mashindano ya Club Bingwa Barani Afrika na Timu ya CS SFAXIEN ya Tunisia .[Picha na Ikulu] 02/12/2020.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...