.Ibada ya kuwawekea mikono wazee wa Makanisa ya Waadventista Wasabato wa Mtaa wa Karagwe, Ibada hiyo imeongozwa na Mchungaji wa Mtaa wa Nkwenda, Mch. Ibrahimu Rwehinda akisaidiana na Mchungaji wa Mtaa wa Karagwe, Mch. Fanuel Mtura katika kanisa la Wadventsta Wasabato Kayanga Karagwe Kagera. Leo Februali 27, 2021.Mchungaji wa Mtaa wa Nkwenda wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Mch. Ibrahimu Rwehinda akihubiri katika ibada katika Kanisa la Waaadventista Wasabato la Kayanga baada ya kuwawekea mikona Wazee wa Kanisa, Mashemasi na Viongozi wa kanisa wa waka 2021 katika kanisa la Wadventsta Wasabato Kayanga Karagwe Kagera. Leo Februali 27, 2021.Picha zote na Eliud Rwechungura.


.Ibada ya kuwawekea mikono Mashemasi wa Makanisa ya Waadventista Wasabato wa Mtaa wa Karagwe, Ibada hiyo imeongozwa na Mchungaji wa Mtaa wa Nkwenda, Mch. Ibrahimu Rwehinda akisaidiana na Mchungaji wa Mtaa wa Karagwe, Mch. Fanuel Mtura pamoja wa Wazee wa Makanisa katika kanisa la Wadventsta Wasabato Kayanga Karagwe Kagera. Leo Februali 27, 2021.


Ibada ya kuweka wakifu viongozi wa Makanisa wa mwaka 2021 wa Waadventista Wasabato wa Mtaa wa Karagwe, Ibada hiyo imeongozwa na Mchungaji wa Mtaa wa Nkwenda, Mch. Ibrahimu Rwehinda na Mchungaji wa mtaa wa Karagwe, Mch. Fanuel Mtura katika kanisa la Wadventsta Wasabato Kayanga Karagwe Kagera. Leo Februali 27, 2021.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...