Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi ambae pia ni Mwenyekiti wa mkutano wa sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi akihutubia wajumbe wa mkutano huo leo katika ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho (wa kwanza kulia) akifuatilia mkutano wa sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofungwa leo katika ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaendeleo wa Burundi, Balozi Albert Shingiro akitoa salamu za Burundi katika kikao cha mwisho cha mkutano wa sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofungwa leo katika ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Architect Elius Mwakalinga akifuatilia kikao cha mwisho cha Mkutano wa Sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofungwa leo katika ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Wajumbe wa Mkutano wa Sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi wakifuatilia kikao cha mwisho cha mkutano huo uliofungwa leo katika ukumbi wa NSSF mjini Kigoma

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho (wa kwanza kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Thobias Andengenye (katikati) pamoja na Mwakilishi wa Heshima wa Burundi Cyriaque Kabura baada ya kumalizika kwa Mkutano wa sita wa Tume ya pamoja ya kudumu kati ya Tanzania na Burundi uliofanyika kwa siku 3 mkoani Kigoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...