Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Hafla ya Harambee ya kuchangia Mfuko wa Forum for African Woman Educationalis Zanzibar (FAWE) katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo March 06, 2021 katika Ukumbu wa Serena Shangani Mjini Zanzinar, yenye “kauli mbiu ya kumuelimisha Mtoto wa Kike ni kuiwezesha Jamii”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo kwa Mwakilishi wa Taasisi ya Zanlink  Zanzibar  Bibi Yusrat Mkwale  kwa kutambua mchango wa Taasisi hiyo wa kuichangia Taasisi ya Forum for African Woman Educationalism Zanzibar (FAWE) ) katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo March 06, 2021 katika  Ukumbi wa Serena Shangani  Mjini Zanzibar,  yenye kauli mbiu ya “kumuelimisha Mtoto wa Kike ni kuiwezesha Jamii”

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Taasisi ya Forum for African Woman Educationalis Zanzibar (FAWE) Dkt. Mwatima Abdalla Juma  kwenye Hafla ya Harambee ya kuchangia Mfuko wa Forum for African Woman Educationalis Zanzibar (FAWE) katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo March 06, 2021  katika Ukumbi wa Serena Shangani Mjini Zanzibar, yenye kauli mbiu ya kumuelimisha Mtoto wa Kike ni kuiwezesha Jamii.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo maalum kwa Mwakilishi wa Taasisi ya DollHouse Boutique Bibi Khaitham Salim Turky kwa kutambua mchango wa Taasisi hiyo wa kuichangia Taasisi ya Forum for African Woman Educationalism Zanzibar (FAWE) katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo March 06, 2021 katika Ukumbi wa Serena Shangani Mjini Zanzibar, yenye kauli mbiu ya  “kumuelimisha Mtoto wa Kike ni kuiwezesha Jamii”.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...