Kama ulikuwa na mpango wa kutafuta jiji ambalo ungependa kwenda kutembea wakati fulani hivi katika maisha yako, basi hapa nakuwekea majiji hatari zaidi duniani yanayoongoza kwà uhalifu ili utakapokwenda kwenye moja ya majiji haya ujue upo kwenye jiji hatari duniani.

Duniani majiji mengi yana uhalifu kutokana na idadi kubwa ya watu na hali ya maisha inayowapelekea watu wakijikuta wakifanya uhalifu.

Takwimu hizi zinatoka kila mwaka kutegemea na hali ya kuongezeka kwà uhalifu au kupungua ndio hupelekea jiji kupanda au kushuka katika list ya majiji hatari kwà uhalifu duniani.

1. Caracas , Venezuela

2. Port Moresby , Papua New Guine

3. Pretoria, South Africa.

4. Durban, South Africa.

5. Johannesburg, South Africa.

6. San Pedro Sula, Honduras.

7. Pietermaritzburg, South Africa

8. Natal, Brazil.

9. Fortaleza, Brazil

10. Rio de Janeiro, Brazil.

11. Recife, Brazil

12. Kabul, Afghanistan 

13. Salvador, Brazil

14. Port Elizabeth, South Africa.

15. Porto Alegree, Brazil

16. Port of Spain, Trinidad and Tobago.

17. Memphis, TN, United States 

18. Baltimore, MD, United States

19. Cape Town, South Africa

20. Detroit, MI, United States

21. San Salvador, El Salvador

22. Sao Paulo, Brazil

23. Saint Louis, MO, United States

24. Kingston, Jamaica.

25. Albuquerque, NM, United States

26. Lima, Peru

27. Windhoek, Namibia

28. Mexico city, Mexico.

29. San Juan, Puerto Rico.

30. Milwaukee, WI, United States.

Dar es salaam, Tanzania ni jiji la 66 kati ya majiji yote 431 kutoka kwenye list hii inayoonyesha majiji yanayoongoza kwà uhalifu.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...