Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo April 16, 2021
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga mara baada ya mazungumzo yao ,Ikulu jijini Dodoma leo April 16,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya Pamoja na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga mara baada ya mazungumzo yao ,Ikulu jijini Dodoma leo April 16,2021.
Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,wakiondoka mara baada ya kumaliza mazungumzo na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dodoma leo April 16,2021

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...