Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi wa Miradi kutoka Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Mkurugenzi wa Miradi wa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet (The Suzan Thomson Buffet Foundation) Profesa Sinait Feisseno mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...