RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana  na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali, wakiitikia dua.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyoiandaa kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar,na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Mhe.Dkt.Saad Mkuya Salum na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe Lela Mohammed Mussa.(Picha na Ikulu).

BAADHI ya Watoto kutoka makundi Maalum wakishiriki katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MWANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutoka kundi la Watu wenye ulemavu Bw. Mwinchande Harouna Mohammed  akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...