Muonekano wa Jengo la Machinjio ya Kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyakagua Mei 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Ng’ombe akiingizwa kwenye mtambo maalum wa kuchinjia  katika machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyakagua Mei 17, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mburugwa Matamwe (wa pili kulia) ambaye ni Mhandisi na Msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya uchinjaji mbuzi  katika Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei 17, 2021. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Mradi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini. Dar es salaam, Mei 17, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa mifugo wakati alipokagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ya Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei  17, 2021.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...