Baadhi ya Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma, kutoka kushoto Bw. Clement Pallangyo; Bibi Agness Kapfunsi; Bw. Amas Mahagala; Bibi Florence Kazuva; Bibi Saada Ibrahim; Bw. Robert Lwanji; Bibi Elizabeth  Mabula na Bw. Richard Cheyo, katika picha ya pamoja leo,  baada ya kuwahudumia Watumishi na wadau waliofika katika Ofisi ya Tume iliyopo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...