Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.


 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini Dodoma, leo Septemba 27.Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.


Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati akifungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma, leo, Septemba 27. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na meza Kuu na wafanyakazi wa Benki ya CRDB baada ya kuifungua Mkutano mkuu wa ALAT jijini Dodoma leo. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...