Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani unaoongozwa na Dr.Stefen Oswald (wa tatu kulia) Mkurugenzi Mkuu Idara ya Mashirikiano ya Kiuchumi na Maendeleo Kwa Afrika alipokutana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika mazungumzo hayo Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walijumuika katika mazungumzo hayo.[Picha na Ikulu] 16/09/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani alipokutana nao leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika mazungumzo hayo Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Watendaji walijumuika katika mazungumzo hayo.[Picha na Ikulu] 16/09/2021.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...