Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda, Abdallah Seif.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa kiwanda, Abdallah Seif.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea Kiwanda cha Kahawa Ngara Coffee akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...