Muonekano wa Shule ya Sekondari Maalum ya Wavula Nachingwea ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake, Oktoba 25, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mhandisi wa wilaya ya Nachingwea, Misoji Sahani (kulia) kuhusu ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Maalum ya Wavulana Nachingwea kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo, Oktoba 25, 2021. Wa tatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, Kaimu Mhandisi wa wilaya ya Nachingwea, Misoji Sahani ambaye alitoa maelezo kuhusu michoro ya Shule ya Sekondari Maalum ya Wavulana Nachingwea kabla ya Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo, Oktoba 25, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Kaimu Mhandisi wa wilaya ya Nachingwea, Misoji Sahani (Kulia) baada ya kuvutiwa ubora na viwango vya hali ya juu vya ujenzi wa Shule ya Sekondari Maalum ya Wavulana Nachingwea ambayo ujenzi wake umesimamiwa na Mhandisi huyo. Mheshimiwa Majaliwa pia aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo, Oktoba 25, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Maalum ya Wavulana Nachingwea, Oktoba 25, 2021. Kulia ni Mbunge wa Nachingwea , Dkt. Amandus Chingwile na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...