Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021, Wapili kulia ni Katibu wa Naibu Spika, Bw. James Sapali na Katibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bi. Sylvia Matiku
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...