Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika katika Wizara yake, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara hiyo Migombani Mjini Zanzibar.

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanziba

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...