Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akikagua timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania kabla ya kuchuana na timu ya Uganda katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, Kushoto ni nahodha wa timu hiyo, Mhe. Cosato Chumi



Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai pamoja na Mbunge kutoka Bunge la Uganda na Muwakilishi wa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Sarah Opend wakishuhudia mechi kati ya timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania na timu ya Uganda katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, timu ya Tanzania illibuka na ushindi wa magoli 2 kwa bila



Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu kutoka Bunge la Tanzania (wenye bluu) wakichuana vikali na wachezaji wa timu ya Uganda katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, timu ya Tanzania illibuka na ushindi wa magoli 2 kwa bila



Wachezaji wa mpira wa miguu kutoka Bunge la Tanzania wakishangilia goli walilofunga dhidi ya Uganda katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, timu ya Tanzania illibuka na ushindi wa magoli 2 kwa bila



Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai pamoja na Mbunge kutoka Bunge la Uganda na Muwakilishi wa Spika wa Bunge la Uganda, Mhe. Sarah Opend wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge la Tanzania katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, timu ya Tanzania illibuka na ushindi wa magoli 2 kwa bila



Wachezaji wa mpira wa miguu kutoka Bunge la Tanzania pamoja na Bunge la Uganda wakiimba nyimbo za Taifa kabla ya kuanza kwa mechi katika michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Disemba 12, 2021, timu ya Tanzania illibuka na ushindi wa magoli 2 kwa bila.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...