CPL Mwajabu Mzee kutoka Mkoani Kilimanjaro akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi.)

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elieza Hokororo akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Asia Matauka akitoa elimu kwa Wasafiri wa Treni ikiwa ni muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ambapo Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto kutoka Tanzania bara na Zanzibar wamesafiri na treni kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza na kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa wasafiri na wafanyabiashara katika stesheni mbalimbali.(Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...