Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Asasi ya Vijana Tanzania (TAYOA) Peter Masika, wakati alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Joyce Lyimo kutoka Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam wakati alipotembelea banda la Baraza la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021.  Kushoto ni Marianus Mkinga wa NOCOFA Njombe, kulia ni Naibu Spika na mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson na watatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiwapungia waandamaji katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kitaifa yanafanyia mkoani Mbeya, Decemba 1, 2021. kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...