Benki Kuu ya Tanzania imeshiriki Matembezi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria leo Januari 23,2022 kuanzia Viwanja vya Mahakama Kuu Dodoma mpaka Viwanja vya Nyerere Square. Matembezi hayo yameongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi.



 

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...