*Meridianbet Ndio Sehemu Sahihi Kwako Mwanamichezo.
WAKATI baadhi ya
mataifa yakiwa yamejihakikishia kucheza Hatua ya 16 Bora, baadhi yao bado hali
ni tete. EPL na nusu fainali ya EFL Cup pia inaendelea wiki hii kule Uingereza.
Meridianbet tumekuwekea Odds Bora kwa namna hii;
Hatma ya Senegal na Malawi
itajulikana leo usiku watakapochuana kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B. Nani
anasonga mbele, nani anakaa pembeni kunako AFCON 2021? Usikae kinyonge, wataalamu
wa hizi kazi wanaifuata Odds ya 1.31 kwa Senegal kupitia
Meridianbet.
Kwenye EPL, Leicester City watawaalika Tottenham
Hot Spur katika muendelezo wa ligi. Uwepo wa COVID-19
unaathiri baadhi ya michezo kwenye ligi mbalimbali. The Foxes vs Spurs sio
mchezo mdogo, lolote linaweza kutokea zinapokutana timu hizi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.35
kwa Spurs.
Jumatano, Brentford watachuana na Manchester
United. The Bees wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa
wametoka kufungwa na Liverpool. The Red Devils nao, walipuyanga kwenye mchezo
dhidi ya Aston Villa, faida ya magoli 2 haikuwa na maana baada ya Villa
kurudisha magoli yote. Meridianbet tumeweka Odds ya 1.79 kwa
United.
Liverpool vs Arsenal
katika nusu fainali ya kwanza ya EFL Cup. Mchezo huu ulighairishwa wiki chache
zilizopita na sasa, tunaendelea tupoishia. Ni Klopp au Arteta atakayejiweka
kwenye nafasi ya kupambana na Chelsea kwenye fainali? Ifuate Odds ya 2.05 kwa Liverpool.
Ivory Coast uso kwa uso na Algeria
Alhamisi hii. Ni kama vile safari ya Algeria kutetea ubingwa wao ipo mikononi
mwa mchezo huu, watatoboa au watatobolewa? Unyama wote upo kwenye Odds ya 2.24
kwa Algeria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...