Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa SACCOS ya Kahama, Ashura Ally Hati ya Usajili wa SACCOS ya UWT Kahama wakati akizindua SACCOS ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) wilaya ya Kahama.

Na Mwandishi wetu Kahama.

Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba amezindua SACCOS ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) wilaya ya Kahama huku akikabidhi shilingi Milioni 5 kwenye SACCOS hiyo ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kuwaunga mkono kwenye SACCOS hiyo ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Mhe. Santiel Kirumba amezindua SACCOS hiyo ya UWT wilaya ya Kahama yenye jumla ya wanachama 133 kutoka kata 58 za wilaya ya Kahama, Jumamosi Januari 15,2022 wilayani Kahama.

Mhe. Santiel Kirumba pia ametoa bima za afya na kuzindua bima kwa wanawake wa kata 58 za wilaya ya Kahama kwa wanachama 133 wa SACCOS ya UWT wilaya ya Kahama.
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akizungumza wakati akizindua SACCOS ya UWT wilaya ya Kahama. Mhe. Santiel alichangia shilingi Milioni 5 ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kuwaunga mkono kwenye SACCOS hiyo ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akizungumza wakati akizindua SACCOS ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) wilaya ya Kahama. Mhe. Santiel alichangia shilingi Milioni 5 ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kuwaunga mkono kwenye SACCOS hiyo ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akijiandaa kumkabidhi shilingi Milioni 5 Mwenyekiti wa SACCOS ya UWT Kahama,  Ashura Ally (katikati) wakati akizindua SACCOS ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) wilaya ya Kahama. 
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akimkabidhi shilingi Milioni 5 Mwenyekiti wa SACCOS ya UWT Kahama  Ashura Ally wakati akizindua SACCOS ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa CCM (UWT) wilaya ya Kahama. 
Mwenyekiti wa SACCOS ya UWT Kahama  Ashura Ally akionesha shilingi Milioni 5 zilizotolewa na Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba  ikiwa ni sehemu ya ahadi yake kuwaunga mkono kwenye SACCOS hiyo ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (kushoto) akikabidhi kadi za bima ya afya kwa mmoja wa wanawake wa UWT Kahama
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (kushoto) akikabidhi kadi za bima ya afya kwa mmoja wa wanawake wa UWT Kahama
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba (kushoto) akikabidhi kadi za bima ya afya kwa mmoja wa wanawake wa UWT Kahama
Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba akizungumza na wanachama wa UWT Kahama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...