Mshindi wa promosheni ya Vodacom "Show Love, Tule Shangwe", Veronica

Kalamu (wa pili kulia) mkazi wa Runzewe akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja kutoka kwa Mkuu wa mauzo Vodacom kanda ya ziwa, Ayubu Kalufya (wapili kushoto). Wengine kulia ni Meneja Mwandamizi Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akabarali na kushoto ni Meneja wa Vodacom Kahama, Undule Mwamkamba, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika viwanja vya Phantom mjini Kahama. Msimu huu wa sikukuu Vodacom inatoa zawadi kwa wapendanao ambapo wateja wanaweza kununua bando na kutumia huduma ya M-Pesa kwa kupiga *149*01#
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...