Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...