Na Mwandishi Wetu

WAKATI nikiwa kwenye maandalizi ya mwisho ya harusi yangu na mchumba wangu mtarajiwa nilipata ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu yangu ya mkononi kutoka kwa mpenzi wangu Juma tuliyepanga kufunga ndoa naye kwamba amesimamisha mipango yote ya kufunga ndoa.

Na kwamba  alikua amekipata kipenzi chake cha roho, mpenzi wake wa awali na walikua kwa maandalizi yao ya kuweza kufunga ndoa na kuoana kama bwana na bibi siku chache zijazo.Sikuamini ujumbe niliokua nausoma kwenye simu yangu na nilidhani huenda niko kwenye ndoto ya mchana.

 Nilinawa uso na kuusoma tena na tena, lakini ujumbe ulikuwa ni ule ule uliokuwa unasema hivi“Josphina nautuma ujumbe huu nikidhani huu buheri wa afya, ningependa nikuarifu kuwa usitishe mipango ya harusi miye nawe, nimekipata kipenzi changu cha roho kwa jina Juliet ambaye napanga kufunga ndoa naye hapo mbeleni, pole saana”.

Anaaelezea Josephina ambaye amepita kwenye changamoto isiyosahaulika kwenye maisha yake na anatumia nafasi hii kusimuliza zaidi hakuami alichokisoma na kwamba punde tu aliporudia kusoma alipandwa na mori, na kushikwa na msongo wa mawazo asijue lakufanya.

Alishindwa kuelewa mbona mpenzi wake Juma aliamua kumtendea hayo baada ya kuwa naye kwenye uhusiano kwa miaka mitatu, na kila alipofikilia ndipo msongo wa mawazo ulizidi, alitamani ardhi kupasuka azame akiwa hai kwa kuwa asingeweza kustahimili aibu ya kuachwa na mpenzi siku chache kabla ya kufunga ndoa.

"Nilitaka kuysikia niliyoyasoma kwenye ujumbe kutoka kinywani mwa Jma, hivyo basii niliamua kwendanyumbani kwao Kuma ili kupata hakikisho kutoka kwake ni kweli alikua ameamua kuniacha na kuenda umuoa mpenzi wake wa awali Juliet.Nilipowasili kwao sikumpata yeyote bali askari wa mlangoni aliyeniarifu kuwa wote hawakuwepo.

"Nilijaribu kumpigia simu dadake Juma niliyekua na uhusiano wa karibu sana naye kama rafiki, lakini hakupokea simu yangu, kwa hamaki nilitaka kujitoa uhai kwa kujirusha katikati ya barabara kuu ili nigogwe na gari, lakini kwa bahati nzuri rafiki yangu wa zamani aliyekua karibu aligundua nia yangu ,hivyo alinichukua na kunipeleka nyumbani.

"Nilipowasili nyumbani nilienda moja kwa moja kwenye chumba changu cha kulala na kujifungia, sikutaka kuzungumza na yeyote  yule, bali mpenzi wangu Juma ambaye hakua karibu wakati huo, kwa hasira nilitiririkwa na machozi na kulia kwa sauti ya chini, dada zangu waligundua kuwa nilikua mwenye uwezo hivyo wakaamua kuja kutaka kujua kilichonikwaza,"amesema.

Ameongeza kwamba walijaribu kuubisha mlango lakini hakutaka  kuwafungulia kwani  aliitaka kukaa peke yangu, hakuwa tayari kuzungumza na mtu yoyote zaidi ya Juma.Baada ya saa nane hivi alisikia sauti ya Mvyele wake ikiita hivyo akaamua kwenda kufungua mlango.

"Nikaamua kuufungua mlango, kwa huzuni mama yangu alinilaki na kisha aliniuliza kilichonifanya niwe na huzuni hivyo nilimweleza yaliyotokea na nikamuonesha ujumbe niliotumiwa na Juma,  alipigwa na butwaa, lakini akaniahidi ufumbuzi utapatikana.

"Akiniarifu kuwa pia naye aliwahi kuyapitia hayo kwani mumewe ambaye ni baba yangu alijaribu kumtalaki lakini alipigania penzi lake naye kwa kupata usaidizi kutoka kwa madaktari wa kiasili wa Kiwanga.Hivyo basi alipiga simu kwa daktari Kiwanga ambaye alitoa maelekezo ya kutaka tuonane siku inayofuaa.

"Nilikwenda na nikamuelezana kilichotokea, alinipa hakikisho ningempata mpenzi wangu kwa urahisi, siku mbili baadaye nilisikia sauti ya gari ikiita kwenye lango kuu. Nilipoenda kuangalia sikuamini niliyoyaona kwani mpenzi wangu Juma, alikuja nyumbani kuomba msamaha kwa aliyonitendea.

"Aliniahidi kuwa nitakuwa naye kwenye maisha yangu yote na tutaishi pamoja.Pia nilipiwa simu na Juliet akiniarifu niweze kumuomba daktari amutolee aliyoku akipitia maishani. Hivyo nikapewa mawasiliano ya Dk.Kiwanga ambayo ni www.kiwangadoctors.com barua pepe kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kupiga simu kwa nambari +254 769404965.

Namshukuru daktari Kiwanga kwa yote hayo, amenisaidia kumrejesha mpenzi wangu. Daktari Kiwanga anashughulikia magonjwa kama saratani ya mapafu, Kisonono na mengine mengi.

Pia anatatua matatizo kama kulinda boma, Kulirejesha penzi lililopotea na mengine mengi. Watembelee leo upate suluhu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...