Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien (kushoto) kwenye moja ya madarasa ya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere.Katibu Mkuu wa Chama Cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien pamoja na ujumbe wake wakiongozwa na mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 18, Mei 2022 wametembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha mkoani Pwani.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo pamoja Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien (kushoto) na wajumbe wengine wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Chama Cha Mapinduzi Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Mganwa Nzota (kulia) kwenye moja ya madarasa ya Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Katibu Mkuu wa Chama Cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien pamoja na ujumbe wake wakiongozwa na mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 18, Mei 2022 wametembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha mkoani Pwani.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo pamoja Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien (kushoto) na wajumbe wengine wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Chama Cha Mapinduzi Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Mganwa Nzota (kulia) walipotembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere.

Katibu Mkuu wa Chama Cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien pamoja na ujumbe wake wakiongozwa na mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 18, Mei 2022 wametembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha mkoani Pwani.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo (kulia)akimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien mara baada ya kumaliza ziara ya kuitembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, wengine pichani ni Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Gervas Abayeho na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto).

Katibu Mkuu wa Chama Cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien pamoja na ujumbe wake wakiongozwa na mwenyeji wake, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 18, Mei 2022 wametembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kibaha mkoani Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...