Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwa Wakandarasi walioshinda zabuni kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakishuhudia ubadilishanaji Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kushuhudia utiaji Saini Mikataba ya miradi ya Maji kwa ajili ya Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 06 Juni, 2022.

Viongozi mbalimbali, Wakandarasi walioshinda zabuni, pamoja na Wabunge wanufaika wa miradi ya Maji wakiwa katika viwanja vya Ikulu Chamwino kushuhudia utiaji Saini wa Mikataba ya miradi hiyo tarehe 06 Juni, 2022.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...