Waziri wa Viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Kimataifa akiwemo Mgeni Rasmi wa Maonesho ya 46 ya Biashara Sabasaba Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika Bw. Wamkele Mene akiambatana na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula wametembelea Banda la NIC kujionea Huduma mbalimbali za Bima zinazotolewa na Shirika hilo wakati wa Maonesho ya 46 ya Biashara Sabasaba.
Kamishina wa Mamlaka ya Usimamizi wa  Bima nchini (TIRA)  Dkt. Baghayo Saqware akipata maelezo kutoka Maafisa wa Shirika la Taifa la Bima  (NIC)  wakati Kamishina huyo alipotrmbelea maonesho ya 46 Biashara Kimataifa katika Viwanja vya Mwalimi J.K Nyerere jijini Dar es Salaam.kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Mteja Yesaya Mwakifulefule.
Baadhi ya wafanyakazi wa NIC wakiwa katika picha hiyo inayoashiria wanafanya kazi kwa ushirikiano
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa NIC katika maonesho ya 46 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere  Sabasaba jijini Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...