Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa kusoma na kuhifadhi Quran (Riwayat Warsh) Murtado Katibi kutoka Nigeria, wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally, wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika, Mohamed Rifk alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran Tukufu, yaliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI wa Morocco na Makao Makuu wa Bakwata, Dar es Salaam, Agosti 14, 2022. Mashindano hayo yanafadhiliwa na Taasisi ya Mfalme Mohamed VI Ulamaa wa Afrika.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...