RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Ali Ameir Mohammed alipofika nyumbani kwake Donge Kichavyani Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa kumsalimia na kumtembelea na kumjulia hali yake leo 7-8-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Ali Ameir Mohammed alipofika nyumbani kwake Donge Kichavyani Mkoa wa Kaskazini Unguja kumtembelea na kujua hali yake na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassam Othman Ngwali.(Picha na Ikulu)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mzee Ali Ameir Mohammed, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Donge, Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, alipofika nyumbani kwake Donge Kichavyani Mkoa wa Kaskazini Unguja kumjulia hali yake leo 7-8-2022 na (kushoto kwa Mzee Ali ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud .(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mzee Ali Ameir Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika nyumbani kwake Donge Kichavyani Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 7-8-2022, kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...