
TUME huru ya uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya IEBC chini ya Mwenyekiti wake Wafula Chebukati imemtangaza Wiliam Samoei Ruto wa chama cha UDA kuwa Mshindi wa kura za Kiti cha Urais wa Nchi hiyo.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano August 15, 2022 Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema kuwa Ruto ameshinda kwa kura 7,176141, akifuatiwa na mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga aliepata kura Milioni 694930 sawa na asilimia 48%.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...