Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa, akizungumza alipokuwa akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora hutoa fursa kwa wadau wa elimu ikiwepo serikali, watunga sera, vyuo vikuu, wanafunzi, watafiti, taasisi za elimu, mashirika ya umma na binafsi, Washirika wa Maendeleo (Development Partners) pamoja na wadau mbalimbali wa elimu nchini kujadili hali ya ubora wa elimu kwa nia ya kuboresha utoaji wake.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu ambaye akizungumza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Francis Michael akizungumza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga akiendesha moja ya mijadala kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaoendelea hadi Agosti 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.
Afisa Mratibu wa TEN/MET, Bi. Alistidia Kamugisha (kushoto) akimkabidhi zawadi mgeni rasmi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa, alipokuwa akitembelea mabanda mara baada ya kufungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC). Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu akiambatana naye.
Mgeni Rasmi, kwenye Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (wa pili kulia) akipokea zawadi kutoka banda la Milele Zanzibar Foundation wanaoshirikiana na Uwezo Tanzania alipokuwa akitembelea mabanda ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wanaoshiriki katika mkutano huo.
Mgeni Rasmi, kwenye Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (kulia) akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Milele Zanzibar Foundation wanaoshirikiana na Uwezo Tanzania alipokuwa akitembelea mabanda ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wanaoshiriki katika mkutano huo.
Mgeni Rasmi, kwenye Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (wa pili kulia) akipata maelezo kwenye banda la Milele Zanzibar Foundation wanaoshirikiana na Uwezo Tanzania alipokuwa akitembelea mabanda ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wanaoshiriki katika mkutano huo.
Mgeni Rasmi, kwenye Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu (kulia) wakitembelea mabanda ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wanaoshiriki katika mkutano huo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (katikati) akipokea zawadi kwenye Banda la CAMFED Tanzania kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Francis Michael (wa tatu kulia) akipata maelezo ndani ya Banda la Shule Direct, walipokuwa wakitembelea mabanda mbalimbali ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) kwenye mkutano huo.
Meneja Mradi wa CAMFED Tanzania, Anna Sawaki (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Francis Michael (kulia) alipotembelea Banda hilo, kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC). Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu.
Baadhi ya wanafunzi vinara wa elimu walioshiriki katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, wakisoma risala yao kwa mgeni rasmi.
Kikundi cha kwaya kutoka Shule ya Msingi Igunga mkoani Tabora kikitumbuiza kwenye uzinduzi Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere wakifuatili mkutano huo.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere wakifuatili mkutano huo.
Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere ukiendelea.


Viongozi na washiriki kutoka mataifa mbalimbali kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.


Bi. Shalini Bahuguna kutoka UNICEF Tanzania akiwasilisha hotuba yake kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) ulioandaliwa na TEN/MET, unaofanyika kwa siku tatu Agosti 17 hadi 19, 2022 jijini Dar es Salaam Katika Mkumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere.


Mwenyekiti wa Bodi ya ANCEFA, Dk. John Kalage akizungumza kwenye Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Elimu Bora (International Quality Education Conference -IQEC) unaandaliwa na Mtandao wa TEN/MET.


Mshauri Mtendaji wa Shirika la CAMFED, Barbara Chilangwa (kulia) kutokea nchini Zambia akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa CAMFED Tanzania, Bi. Lydia Wilbard (kushoto) wakifuatilia mkutano huo.
Mgeni Rasmi, kwenye Mkutano huo wa Kimataifa wa Elimu Bora, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu (kulia) wakitembelea mabanda ya wadau wa elimu na wanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) wanaoshiriki katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya TEN/MET ilioratibu Mkutano wa Kimataifa wa Elimu Bora, ikiwa katika picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bi. Lela Mohamed Mussa (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Ms. Faraja Nyalandu na meza kuu.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...