MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola, akizungumza na menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) wakati wa ziara ya Makamishna wa Tume Utumishi wa Umma katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma jana. (Picha na Mpigapicha Wetu)

. MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola (wa tatu kulia) pamoja na Makamishna wakimsikiliza Mwandisi wa Uzalishaji Maji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Peter Shemwelekwa, akielezea mfumo wa kieletroniki wa uzalishaji maji wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma jana. Wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi Aron Joseph. (Picha na Mpigapicha Wetu)

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola (katikati) pamoja na Makamishna kuhusu ukubwa wa visima na aina ya pampu zinazotumika wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma jana. Wapili kulia ni (Picha na Mpigapicha Wetu)




MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mst. Hamisa Kalombola pamoja na Makamishna katika vituo vya kusukumia maji (booster station) Mzakwe wakati wa ziara ya Makamishna wa tume katika Mamlaka hiyo jijini Dodoma jana. Wapili kulia ni (Picha na Mpigapicha Wetu)



Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...