Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo Zanzibar Mhe. Othman masoud Othman akizungumza na  Baadhi ya Viongozi na wanachama wa Jimbo la Mtoni wakati Mhe. Othman akiwa katika ziara ya kutembelea majimbo mbali mbali ya uchaguzi katika wilaya ya Magharib A  U nguja leo tarehe 24.09.22. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar )

Makamu  Mwenyekiti wa Chama Cha ACT- Wazalendo  Zanzibar akipata maelezo kutoka  ndugu Mkubwa  Ali Abrahaman ambaye ni Mwenyekiti wa Vijana katika soko la samaki Magengeni bubu  wilaya ya Magharib A.  Wakati Mhe. Othman alipotembelea katika eneo hilo jana akiwa kwenye ziara za ujenzi wa Chama katika Jimbo la Bubu leo tarehe 24.09.22. ( picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akiingia katika ofisi za Tawi la chama hicho Mtoni  ili kuzungumza na  Baadhi ya Viongozi na wanachama wa Jimbo hilo . Kulia kwa Makamu ni  Naibu Katibu wa Haki za Binaadamu na Makundi Maalum wa ACT  Ndugu Pavu Abdalla Juma. Mhe Othman  alikuwa katika ziara ya kutembelea majimbo mbali mbali ya uchaguzi katika wilaya ya Magharib ‘A’  Unguja leo tarehe 24.09.22. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar )

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akimpa mkono  Mtoto  Saluwa Said Salum  wa Bububu Jazira (aliyebebwa na baba yake),  wakati Mhe. Makamu akiwa katika ziara ya kutembelea majimbo mbali mbali ya uchaguzi katika wilaya ya Magharib ‘A’  Unguja leo tarehe 24.09.22. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar )


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akimpa mkono  Mtoto  Naurat Hemed Ali  baada ya kumvika zawadi maalum ya koja huko Jimbo la Mtoni.  Kulia kwa Naurat ni  mtoto Sajdat mhe. Makamu alikuwa katika ziara ya kutembelea majimbo mbali mbali ya uchaguzi katika wilaya ya Magharib ‘A’  Unguja leo tarehe 24.09.22. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar )

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...