Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), jijini Tokyo, Japan, Septemba 26.2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida, wakati walipokutana kwenye kasri la Kifalme ambalo hutumika kufanyia shughuli za Kiserikali la Asaka (Asaka Palace), jijini Tokyo, Japan, Septemba 26.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...