RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)

MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa Salamu za Vyama vya Siasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanahusu Demokrasia ya Vya Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)


WAGENI waalikwa katika Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakifuatilia mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Sheikh.Saleh Mohammed kutoka Kamati ya Amani na Maridhiano Zanzibar,akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Bi. Pavu Abdalla kutoka Chama cha ACT- Wazalendo akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.(Picha na Ikulu)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...