Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipokea tuzo ya kutambua mchango wake wa kuendelea kujitolea kuboresha mazingira ya kazi ya Vyombo vya Habari Nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Bw. Deodatus Balile wakati wa Mkutano wa 12 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Wahariri katika Hoteli ya Morena Mkoani Morogoro leo tarehe 29 Machi, 2023.



Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) pichani juu akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 12 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Wahariri katika Hoteli ya Morena Mkoani Morogoro leo tarehe 29 Machi, 2023.



















Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Mkutano wa 12 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Wahariri katika Hoteli ya Morena Mkoani Morogoro leo tarehe 29 Machi, 2023.










Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Mkutano wa 12 wa Mwaka wa Kitaaluma wa Wahariri katika Hoteli ya Morena Mkoani Morogoro leo tarehe 29 Machi, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...