Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (watatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa  Suger, Seif Ali Seif (watatu kushoto), Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo (wapili kulia) kwa pamoja wamikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani,  lililokarabariwa na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi huo, uliofanyika shuleni hapo  jana. Kampuni ya Mtibwa Suger na Siemens zimekamilisha ukarabati wa  darasa hilo lililowekewa vifaa  vya kujifunzia maswala ya tehama ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono sera ya serikali ya awamu  ya sita katika kuboresha elimu nchini ili kuandaa vijana wa baadae watakaoendana na  soko la ajira la Dunia ya kidigitali. Wengine pichani ni kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Madizini, Goodluck Mugeta, Afisa Elimu Wilaya ya Mvomero, Bruno Sangwa pamoja na Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu Philemon Sokime.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe (wapili kulia)  pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo wifanya  tendo la ufunguzi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa  na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi huo, uliofanyika shuleni hapo  jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa  Suger, Seif Ali Seif na kulia ni Afisa Elimu Wilaya ya Mvomero, Bruno Sangwa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens kwa Ukanda wa Afrika, Sabine Dall'omo muda mfupi baada ya ufunguzi wa darasa hilo.
Muonekano wa Darasa hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa  Suger, Seif Ali Seif.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa  na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi huo, uliofanyika shuleni hapo  jana.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mtibwa  Suger, Seif Ali Seif akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa darara la tehama katika Shule ya Msingi Kiwandani, Wilayani Mvomero, Morogoro lililokarabariwa  na Mtibwa Suger kwa kushirikiana na Siemens, katika hafla ya ufunguzi huo, uliofanyika shuleni hapo  jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...