.
Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Tuyangine Nzunda, Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Gerald Msabila Kusaya, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ally Senga Gugu, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya Aretas James Lyimo pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) wakila Kiapo cha Maadili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Makatibu Tawala walioapishwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Tixon Tuyangine Nzunda kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Gerald Msabila Kusaya kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ally Senga Gugu kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Aretas James Lyimo kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Machi, 2023

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...