Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kwenye ukumbi wa Halmashauri, Machi 25, 2023. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri, Machi 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...